Wabunge wahakikishe hilo linabaki kuwa huru!Ningekua katibu na ummy ningrmuambia hili mwa sasa waliache Ila ndio hivyo tena too late.
Issue haipo bima kwa wote, issue kunusuru mfuko. Lakini huku kwenye kunusuru mfuko kunaweza kukawa ndio kifo chenyewe kuliko ilivyo sasa
Yaan hio inaenda kuwekwa kwenye mfumoSuala la bima kwa wote ni zuri!
Lakini hakikisheni sheria isimlazimishe mtu kuwa na bima! Bima kwa wote iwe ni Hiari!....
Kule kwa wahadzabe wanategemea mizizi kujitibu, wamasai na wagologole na wengineo! Ukiwanyima huduma zingine za kijamii ni kurudisha ukoloni mamboleo!Yaan hio inaenda kuwekwa kwenye mfumo
Hukumsikiliza Ummy Mwalimu wewe?
Ukienda Choo cha kulipia onyesha Kadi Ya Bima ya Afya bila hivyo jinyee tuKule kwa wahadzabe wanategemea mizizi kujitibu, wamasai na wagologole na wengineo! Ukiwanyima huduma zingine za kijamii ni kurudisha ukoloni mamboleo!
Hili wakalitazame kwa kina
Mbona mpaka sahizi ni hiari kwa yeyote kuwa na bima.Wabunge wahakikishe hilo linabaki kuwa huru!
DaahUkienda Choo cha kulipia onyesha Kadi Ya Bima ya Afya bila hivyo jinyee tu
No Bima Ya Afya No Service
Ngoja tuone mjadalaMbona mpaka sahizi ni hiari kwa yeyote kuwa na bima.
Mi nafikiri iwe lazima kila mtu awe na bima ila ishuke bei iwe angalau elfu 50400 kama ya wanafunz/watoto.
Ngoja inyeshe tuone panapovujaSuala la bima kwa wote ni zuri! Ila bima hiyo iunganishwe na NHIF ili mfuko wa bima nchini uwe mmoja badala ya kwenda kuanzisha mfuko mpya wa kuzalisha ulaji , wizi na ajira zizizo na tija.
Hili nalo wakalitazameLabda bunge la somalia.
Tanzania hakuna bunge bali kuna kikao cha ccm kwenye jengo la bunge.