Suala la bima kwa wote ni zuri!
Lakini hakikisheni sheria isimlazimishe mtu kuwa na bima! Bima kwa wote iwe ni Hiari!
Mkiwalazimisha sana watu kuwa na bima wataka kwa Mara ya kwanza lakini mwaka wa pili hawatarenew itabakia kuwa Dormant!
Wataoingia kwa hiari wahudumiwe vyema ili kila mtu atamani kuwa na bima!
Dada yangu Ummy na wabunge wenzako Hili mkalitazame kwa kina!

- Mtu asinyimwe huduma za kijamii kisa hana bima
- Mtu asinyimwe pembejeo kisa hana bima
- Mtu asinyimwe damu kisa hana bima
- Mtu asisafili kisa hana bima
- Mtu asinyimwe leseni kisa hana bima!