Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hello Tanzania,
Hivi hawa wabunge kazi yao nini haswa, wanajua majukumu yao? Wabunge mnatia hasira sana hasa mbunge wa Songwe ukikaa vibaya 2025 nakupindua una kazi ya kununulia wanachi pombe as if pombe ndio afya yao Road ya vumbi mpaka unafika kijijini kwenu mtu unaoga vumbi kweli hamtutendei haki izo pombe unazonunua ili wanachi wanywe kanyweshe ukoo wake ukooo.
Mbunge wa Kondoa una kazi gani hasa uko bungeni standi ya bus tu Huna una kituo cha magari lakini upo bungeni unakula kiyoyonzi na kujipiga pacha na kutumia warembo ninyi watu jiangalie sana kama hamjui kujieleza si bora mukae kwenu mlime.
Mbunge wa Mwanga wewe ni jipu mwanga Kilimanjaro stendi imechakaa ama choo cha sokoni na uko bungeni na ubahiri wako unashindwa kujitoa kwa wanachi mkipigiwa simu hampokei mliwapa namba za nini? Wilaya ni mbovu kuliko kawaida kama jimbo limekushinda achia jimbo watu wagombee.
Mbunge wa Mtwara mjini wewe ndio jipu kabisa tangu umeingia bungeni unakazi ya kushinda gym sijui kama unajua wanachi wako umeme kwao shida na maji salama shida na bado unajifanya huoni tembelea hospital jua changamoto walemavu wanachangamoto nyingi sana lakini upo kimya anakushinda mh shamsia mtambaa wa mtwara vijijini kwa muda mfupi kaboresha vituo vya afya na vifaa tiba.
Nitarudi tena kwa marimba mengine kama jimboni kwako kuna mbunge kajisahau kumbushe hasa wapo humu wanachungulia wengine wanashinda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kule.