Wabunge Kenya wanataka walipwe million 40 kwa mwezi 😁

Wabunge Kenya wanataka walipwe million 40 kwa mwezi 😁

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hii failed state inapoelekea ni kuzimu, watu wanakufa na njaa kwa mamia hilo hawalioni.

20190504_200923png.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aki this is middle income country.

Kwamba hazitoshi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aki this is middle income country.

Kwamba hazitoshi[emoji16][emoji16][emoji16]
Haziwatoshi kabisa, imagine kumbe mpaka gari wanapewa bure na sio kwa mkopo kama Tanzania tena na mlinzi na msaidizi juu kwa gharama za serikali, sijui cabinet secretary atakuwa na stahiki zipi
 
Haziwatoshi kabisa, imagine kumbe mpaka gari wanapewa bure na sio kwa mkopo kama Tanzania tena na mlinzi na msaidizi juu kwa gharama za serikali, sijui cabinet secretary atakuwa na stahiki zipi
[emoji16][emoji16]Yaani wanasiasa wa kenya Mungu anawaona.

Pamoja na nyang'au kuwa aggressive lakini bado ni kutandikwa mpaka saa ya kulala[emoji23]
 
Pesa huwa haitoshi siku zote ata wakitaka walipwe bilion 1 kwa mwez na bado watalalamika tuu kuwa haitoshi .

Alie shiba hamjui mwenye njaaa siku zote
 
[emoji16][emoji16]Yaani wanasiasa wa kenya Mungu anawaona.

Pamoja na nyang'au kuwa aggressive lakini bado ni kutandikwa mpaka saa ya kulala[emoji23]
😂😂😂😂 Na uaaggressive wao mwisho ni kwa mama zao, politicians wanawashikia chini kama kuku wa Christmas
 
[emoji44][emoji44][emoji44] MPigs! Na bado wanaiba pesa za umma [emoji35]. No wonder life punishes them severely
Michezo hii sio ya kibinaadam kabisa. Yaani hapa hamna kujali wananchi tena, kila mtu anapambania tumbo lake kwanza.
 
Kumbe ni 40Million hela ya madafu? Siungesema mapema! [emoji15] Ila wakidhubutu kufanya kweli ndio watajua hawajui.
 
Nikiona maandamano kwa hili. Nitaunga MKONO.
 
Tanzania watu huandamana kweli ama magufuli atawalisha risasi?
Tanzania inaongoza Africa katika "Inclusiveness", maandamano yanini?.
Huku kwetu ni watu watatu tu ndio wanaolindwa 24/7
1)Rais
2)Vice President
3)Prime minister
Kenya hadi Senator analindwa 24/7 kwa gharama za serikali. Kamwe madeni hayawezi kuisha, na hamtokaa mjenge hata nusu kilometer ya SGR kwa pesa yenu.
 
Back
Top Bottom