tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Nchi ya waheshimiwa,wako kula na kunywa wakenya wanapiga yawning tu,watalipishwa kodi hadi wafurah...wanasema wanakatiba nzuri?Kenya ni failed state moja haikaii mbili haiwezekaniTanzania inaongoza Africa katika "Inclusiveness", maandamano yanini?.
Huku kwetu ni watu watatu tu ndio wanaolindwa 24/7
1)Rais
2)Vice President
3)Prime minister
Kenya hadi Senator analindwa 24/7 kwa gharama za serikali. Kamwe madeni hayawezi kuisha, na hamtokaa mjenge hata nusu kilometer ya SGR kwa pesa yenu.