Haziwatoshi kabisa, imagine kumbe mpaka gari wanapewa bure na sio kwa mkopo kama Tanzania tena na mlinzi na msaidizi juu kwa gharama za serikali, sijui cabinet secretary atakuwa na stahiki zipi[emoji23][emoji23][emoji23]Aki this is middle income country.
Kwamba hazitoshi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Yaani wanasiasa wa kenya Mungu anawaona.Haziwatoshi kabisa, imagine kumbe mpaka gari wanapewa bure na sio kwa mkopo kama Tanzania tena na mlinzi na msaidizi juu kwa gharama za serikali, sijui cabinet secretary atakuwa na stahiki zipi
ππππ Na uaaggressive wao mwisho ni kwa mama zao, politicians wanawashikia chini kama kuku wa Christmas[emoji16][emoji16]Yaani wanasiasa wa kenya Mungu anawaona.
Pamoja na nyang'au kuwa aggressive lakini bado ni kutandikwa mpaka saa ya kulala[emoji23]
Michezo hii sio ya kibinaadam kabisa. Yaani hapa hamna kujali wananchi tena, kila mtu anapambania tumbo lake kwanza.[emoji44][emoji44][emoji44] MPigs! Na bado wanaiba pesa za umma [emoji35]. No wonder life punishes them severely
Kwa mujibu wa katiba ya Kenya, hakuna mtu yeyote anayekubaliwa kuwania ubunge bila shahada kutoka kwa university certified....Ndo effect's ya STD 7 kuwatawala wenye Master.
ndio ni kweli lakini sasa kwanini mbona walia?Ndio maana Kenya Haiwezi Jenga SGR hata 1km kwapesa yake
Wizi, Ulafi na Umimi umewajaa
Tanzania watu huandamana kweli ama magufuli atawalisha risasi?Nikiona maandamano kwa hili. Nitaunga MKONO.
Tanzania inaongoza Africa katika "Inclusiveness", maandamano yanini?.Tanzania watu huandamana kweli ama magufuli atawalisha risasi?
Huu utaratibu mpya Kwani unamuda gani?Kwa mujibu wa katiba ya Kenya, hakuna mtu yeyote anayekubaliwa kuwania ubunge bila shahada kutoka kwa university certified.