Wabunge Kenya wanataka walipwe million 40 kwa mwezi 😁

Nchi ya waheshimiwa,wako kula na kunywa wakenya wanapiga yawning tu,watalipishwa kodi hadi wafurah...wanasema wanakatiba nzuri?Kenya ni failed state moja haikaii mbili haiwezekani
 
Nchi ya waheshimiwa,wako kula na kunywa wakenya wanapiga yawning tu,watalipishwa kodi hadi wafurah...wanasema wanakatiba nzuri?Kenya ni failed state moja haikaii mbili haiwezekani
Sijui kwanini wakenya hawaoni kwamba gharama za kuendesha nchi zipo juu zaidi ya uwezo wa nchi, badala yake wanajisifia kwa kulipa mishaara mikubwa kwa wakenya 2% pekee, hivi hiyo katiba wanayoisifia inasaidiaje Kenya, au kama kawaida yao ni kwa ajili ya kutafuta SIFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…