Wabunge Kenya watapeliwa

Wabunge Kenya watapeliwa

Hahaha 😀 hapo huwesmake brathee. Labda kama hupendi uhai wako. Fata akina Wairimu na Wamuyu na Wanjiru wapo wengi sana mitaa ya Nai.
Msee game yangu iko next level..[emoji1] [emoji1] , Ngoja nije niwa show vile inafanywa.
 
Ukifata maneno ya watu watakuambia chochote. Fact is, mheshimiwa Sabina is a very brilliant in the National Assembly. Serving in virtually all the important commitees health, education you name it. Very smart mind.
Its gud then, ila one can be all that and bado akawa malaya, i wish ninge kupa story yangu.. hivi vitu tuviache tu
 
Msee game yangu iko next level..[emoji1] [emoji1] , Ngoja nije niwa show vile inafanywa.
Kumbe chama chetu cha Mafisi SACCO kina wafuasi hadi Tz? Wawawawa! 😀
Its gud then, ila one can be all that and bado akawa malaya, i wish ninge kupa story yangu.. hivi vitu tuviache tu
We jamaa bana mwenzako amekamatwa alafu eti amekuwa na uhusiano na wabunge wa kike 13. Thats the guy! Hehehe Hana huzuni eti. Huwezi jua kwamba amedakwa kwa kumtazama. Anapiga bonge la smile afande walomkamata nao masmile. Yaani kila kitu kwake kipo freshi. Hii ni movie walahi. 😀😀😀
 
Jogoo wa mjini Benson Chacha hakuacha kuonesha makeke yake ktk mahakama ya jijini Nairobi, Kenya huku akitoa tabasamu kubwa la mafanikio yake. ....

Source: K24TV
 
we come from the same village kama kawa sisi hula bata TZ kubadili mazingira. Pia mimi hupenda kwenda Tarime nikiwa nyumbani
 
Back
Top Bottom