Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

Mkuu bajeti ya Tanzania hauhitaji kuhonga Ili ipitishwe unless wangekuwepo wapinzani ndio utasema wanahongwa Ili "wasiongee".

Katiba yetu inasema bajeti ikikataliwa na wabunge basi Rais anaweza kulivunja bunge. So utaona hata hao CCM huwa wanakosoa weeeh ila anamalizia kwa kusema "Naunga mkono hoja" na utasikia"Nimeachia shilingi". Sasa mazuzu kama hao wanaobanwa na katiba uwahonge kwa kazi Gani?

Huo ni ufisadi kama ulivyo ufisadi wa kutumia Mali za umma kujinufaisha wenyewe ila sio rushwa sababu katiba HAIRUHUSU kupinga bajeti yoyote yule..
Yale yale ya Jairo...
 
Kama ni kweli itakuwa jambo la aibu sana mkuu,
Kwa maoni yangu naona hiyo inaweza kuwa dharua kubwa kwa muhimili wa bunge lenye watu mia tatu kushindwa kung'amua Hila ya waziri
Kila siku tunapiga kelele kutengenisha mihimili
Serikali na bunge
Leo naona kama bunge linataka kuingizwa kwenye mtego wa waziri wa serikali
Kama wako bungeni kwa wizi wa kura, ni uadilifu gani unategemea kutoka kwao?
 
Kwanza tujuwe ni mitungi ya gas ya kampuni gani?

Kama ni ya Taifa Gas ni wepesi sana kuelewa hiyo ni kazi ya business genius, Rostam.

Kama imetoka kwa Rostam basi hapi itakuwa amewauzia kwa gharama tu wizara ya nishati au hata kawapa bure. Utajiuliza sababu?

Sababu ni nyepesi sana, "kula uliwe" ukitaka kula ni lazima uliwe. Ni pure business na haina uharamu wowote.
 
Mkuu bajeti ya Tanzania hauhitaji kuhonga Ili ipitishwe unless wangekuwepo wapinzani ndio utasema wanahongwa Ili "wasiongee".

Katiba yetu inasema bajeti ikikataliwa na wabunge basi Rais anaweza kulivunja bunge. So utaona hata hao CCM huwa wanakosoa weeeh ila anamalizia kwa kusema "Naunga mkono hoja" na utasikia"Nimeachia shilingi". Sasa mazuzu kama hao wanaobanwa na katiba uwahonge kwa kazi Gani?

Huo ni ufisadi kama ulivyo ufisadi wa kutumia Mali za umma kujinufaisha wenyewe ila sio rushwa sababu katiba HAIRUHUSU kupinga bajeti yoyote yule..
Uko sahihi kabisa. Bajeti yoyote ya serikali ikienda bungeni, wabunge wa CCM lazima waiunge mkono. Huwa nashangaa hata watu wakisema eti bunge huwa linatunga sheria. Lakini ukitazama uhalisia ni kuwa sheria zote hutungwa na serikali, na huko bungeni ni rubber stamp tu.
 
Kama SI rushwa na utaratibu uliotumia una ukakasi je tuseme waziri anatafuta simple popularity kwa wabunge kujipendekeza kwa malengo binafsi ya sasa au baadae ?
 
Natabiri itakuwa ni Taifa Gas, usiniulize kwann!.
Aisee je bunge litaacha sera ya ushindani na kupromote kampuni moja, huoni wataingizwa kwenye aibu zaidi, kama mhe waziri alivyoacha majukumu yake na kuwa kama sales market manager wa kampuni Moja ya gas ?
 
Kwanza tujuwe ni mitungi ya gas ya kampuni gani?

Kama ni ya Taifa Gas ni wepesi sana kuelewa hiyo ni kazi ya business genius, Rostam.

Kama imetoka kwa Rostam basi hapi itakuwa amewauzia kwa gharama tu wizara ya nishati au hata kawapa bure. Utajiuliza sababu?

Sababu ni nyepesi sana, "kula uliwe" ukitaka kula ni lazima uliwe. Ni pure business na haina uharamu wowote.
So it can be a Rostom again !?
Kuwapa Bure itaongeza ukakasi zaidi na maswali zaidi kwa waziri
madam spika kasema waziri kashatenga hela yake kutoka kwenye Kodi za watz wote na hata Kodi za makampuni mengine ya gas,
Wazungu wanasema no free lunch
Naona Kuna jambo nyuma ya waziri
 
Usifikirie sana kichwa kitaexplode!
Hao wanajuana na hapo wanavunjiana genchi tu.
Kama kweli nia dhati ingekua ni kuhamasisha matumizi ya gesi, wangeshusha bei ya gesi, ni genchi episode mkuu!
ni hayo tu,
 
Kama SI rushwa na utaratibu uliotumia una ukakasi je tuseme waziri anatafuta simple popularity kwa wabunge kujipendekeza kwa malengo binafsi ya sasa au baadae ?
Yeye anajiwekea mazingira ya kugombea urais huko mbeleniz sio zaidi ya hapo.
 
Wadau hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu

Kwanza niunge mkono juhudi za serikali na wadau mbalimbali wa mazingira ktk nishati safi ya kupikia

Wakuu najiuliza majukumu ya wabunge ni yapi na je wamefanikiwa yote Hadi wapewe jukumu lingine la kugawa gesi kwa wananchi.

Ndani ya nchi yetu Kuna wadau wengi sana wa mazingira wenye elimu ya mazingira na wako kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutoa elimu kwa jamii kwanini serikali isishirikiane nayo

Lakini pia kwenye halmashauri zetu naamini Kuna maafisa au kamati za mazingira, kwa nini waziri asishirikiane na viongozi wa halmashauri na wadau katika ugawaji na utoaji wa elimu endelevu

Nafikiri hata spika ameona huo ukakasi ndo maana akafununua bila kuombwa ufafanuzi tena akajibu maswali yalipaswa kujibiwa na waziri mwenye dhamana

Bado naendelea kuangalia maamuzi mbalimbali ya mhe January Makamba kama ndani yake Kuna Nia njema
Je Waziri akikosea kesho wabunge watakua na ujasiri wa kutosha kumkosoa ?
Wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, ukitaka kuwafikai wananchi kwa urahisi unapita kwao. Sijui kwa nini unapata tabu kuelewa jambo rahisi kama hilo. Una mawzo ya kizikizi tu na kama watu wanavyo sema kama unakijua basi uanacho au unakifanya
 
Back
Top Bottom