Kasisi karagwe
Member
- Jan 22, 2014
- 25
- 6
Kanuni ya 7 G na H zimevinjwa. G inamtaka raisi aje bungeni na kufanya ufunguzi wa bunge baada ya hapa kanuni ya 7 H inasema m/kiti wa tume atakuja kuwasilisha rasimu ktk bunge. So kimsingi raisi alitakiwa aje yeye kwanza bse ndiye boss then warioba, CCM wamebaka kanuni mapema hii. Nadhani walikuwa wanamtengenezea Jei Kei mazingira ya kupata muda wa kusikia atakachosema Warioba then aweze kuleta mipasho na kudhoofisha mchakato wote
so correct,maccm haya bwana!!!!