Kasisi karagwe
Member
- Jan 22, 2014
- 25
- 6
Kanuni ya 7 G na H zimevinjwa. G inamtaka raisi aje bungeni na kufanya ufunguzi wa bunge baada ya hapa kanuni ya 7 H inasema m/kiti wa tume atakuja kuwasilisha rasimu ktk bunge. So kimsingi raisi alitakiwa aje yeye kwanza bse ndiye boss then warioba, CCM wamebaka kanuni mapema hii. Nadhani walikuwa wanamtengenezea Jei Kei mazingira ya kupata muda wa kusikia atakachosema Warioba then aweze kuleta mipasho na kudhoofisha mchakato wote
Hilo ndiyo lengo la hao wakubwa,ni upuuzi kila sehemu,ila Sitta ajue kuwa ndiyo anaanza kujitoa kwenye mbio za urais kwa kuanza kutumiwa!!Kanuni ya 7 G na H zimevinjwa. G inamtaka raisi aje bungeni na kufanya ufunguzi wa bunge baada ya hapa kanuni ya 7 H inasema m/kiti wa tume atakuja kuwasilisha rasimu ktk bunge. So kimsingi raisi alitakiwa aje yeye kwanza bse ndiye boss then warioba, CCM wamebaka kanuni mapema hii. Nadhani walikuwa wanamtengenezea Jei Kei mazingira ya kupata muda wa kusikia atakachosema Warioba then aweze kuleta mipasho na kudhoofisha mchakato wote
Cha ajabu wanafanya vikao vya SIRI, ila wanataka kura za WAZI. Hawa jamaa walitaka kushinikiza Jaji Warioba asome ripoti yake kabla ya ufunguzi rasmi wa bunge hili na mh. Rais JK, ili JK amlime vijembe kwenye ripoti ya Warioba. Sasa wabunge wengi wameamua kufanya fujo ili kanuni hii isivunjwe na Warioba asiisome leo ripoti yake mpaka rais alifungue bunge. Shinikizi la kuvunja hii kanuni limeshindikana, inaelekea fujo kama hizi zitakuwa nyingi sana katika bunge hili hasa kutokana na mashinikizo wanayoyalazimisha CCM (less than 5 Milion) ili kufanikisha matakwa yao dhidi ya matakwa ya wananchi (45 Milion).
Kanuni ya 7 G na H zimevinjwa. G inamtaka raisi aje bungeni na kufanya ufunguzi wa bunge baada ya hapa kanuni ya 7 H inasema m/kiti wa tume atakuja kuwasilisha rasimu ktk bunge. So kimsingi raisi alitakiwa aje yeye kwanza bse ndiye boss then warioba, CCM wamebaka kanuni mapema hii. Nadhani walikuwa wanamtengenezea Jei Kei mazingira ya kupata muda wa kusikia atakachosema Warioba then aweze kuleta mipasho na kudhoofisha mchakato wote
Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.
Hivi na wewe ni Great Thinker hahahaha yaani hapo umefikiria na ndiyo mwisho wako....dah! basi tenaWabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.
Hawa jamaa as if hayawani mi napata shida sana kuwaelewaCha ajabu wanafanya vikao vya SIRI, ila wanataka kura za WAZI. Hawa jamaa walitaka kushinikiza Jaji Warioba asome ripoti yake kabla ya ufunguzi rasmi wa bunge hili na mh. Rais JK, ili JK amlime vijembe kwenye ripoti ya Warioba. Sasa wabunge wengi wameamua kufanya fujo ili kanuni hii isivunjwe na Warioba asiisome leo ripoti yake mpaka rais alifungue bunge. Shinikizi la kuvunja hii kanuni limeshindikana, inaelekea fujo kama hizi zitakuwa nyingi sana katika bunge hili hasa kutokana na mashinikizo wanayoyalazimisha CCM (less than 5 Milion) ili kufanikisha matakwa yao dhidi ya matakwa ya wananchi (45 Milion).
wewe Ni kichaa,waliokua wanapiga kelele Ni wapinzani CCM inaingiaje?
Wapi wamesema rais inabidi alihutubie bunge la katiba?Kuna watu wanalaumu kuhusu zomeazomea lakini hawajui na wala hawaulizi chanzo ni nini. Hivi kweli kama kanuni inasema Rais atalihutubia BMK kwanza halafu anafuata Jaji Warioba. tunataka kusema kuwa Jaji Warioba ndiye rais? Tuache ushabiki katika mambo ya kitaifa
Hivi baba ukikojoa kitandani halafu mtoto akakucheka utasema hana adabu?Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.