Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.
Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.
Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?
Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.
Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?