Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.