Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RCs wasipewe posho wanazitumia kufiria mademu zetuNa Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye ulevi😀😀
hicho nakubaliana na wewe100%Kweli wapo wenye uwezo ila wakishaingia huko wanaweka kando uwezo

Watapata tena Kwa Nguvu ya Dr SamiaMwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Kuanzia juu mpaka chini au wa chini pekee?Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
KabisaaFa ana asilimia 60 za kurudi..ana jitahidi sana kutokuwakwaza kuongea pumba Na kujifanya mjuaji
Yule mbunge ana akili ndogo kama punje ya haradaliNa Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye ulevi😀😀
Huyo ni viti maalum tupambane hizo nafasi zifutwe kwani ni gharama kwa nchiNa Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye ulevi😀😀
na batrobasi afie mbali kabisaNa Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye ulevi😀😀
Jimbo lake lina mbabe na alshinda wakampiga kikono😂😂😂Huyo mwana FA kwa namna anavopambana kuhakikisha anarudi, kazi ipo ! Mixer na uchawa kwa mama🤣🤣🤣namuona FA akirudi bungeni muhula wa pili