Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Watapata tena Kwa Nguvu ya Dr Samia
 
Kuanzia juu mpaka chini au wa chini pekee?
 
Tuanzie Gwajima na Kitila (alilazimiahiwa Ubungo wasigongane na Mwigulu Unyerambani)
 
Huyo mwana FA kwa namna anavopambana kuhakikisha anarudi, kazi ipo ! Mixer na uchawa kwa mama🤣🤣🤣namuona FA akirudi bungeni muhula wa pili
Jimbo lake lina mbabe na alshinda wakampiga kikono😂😂😂
 
Back
Top Bottom