Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Huyu ni mpumbavu sana!Na Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye uleviππ
ππππ babutale,mwanafa, nkMwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri....mfano khamis taletale au babu tale, mbunge wa sengerema khamisi tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa...
Hukumuelewa!Na Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye uleviππ
inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri....mfano khamis taletale au babu tale, mbunge wa sengerema khamisi tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa...
Hata wale waliopata kupitia gereje watafute namna nyingine π€£Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
kama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,Sure, uchaguzi wa 2025 hautokua kama wa 2020. Wajipange haswa, maana mkulu mwenyewe anahangaika na mambo yake na yeye akalie kiti bila wasi, na wao watafute namna.
π€£π€£π€£π€£πππππ babutale,mwanafa, nk
Ndio wabunge wetu wa kijima, Bora tu wale mafao kwani wametuangusha sanaNa Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye uleviππ
Babu tale foo everibadeMwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Labda kuwe na kufunga ofisi za kurudisha form, ila kikawaida hii ni ngumu kutathminikama yatatokea mabadiliko ya wabunge bas,
CCM parliamentary seats candidates will be replaced by other powerful CCM members and not otherwise....
this one I must put it very clear π
Kama kuna mtu anacho kibarua amuajiri yule mwendawazimu hatopata hata kura 10Na Yule aliesema wanachuo wasipewe mikopo eti wanaitumia kwenye uleviππ
tatizo la babutale wananchi wake wengi ni wa vijijini hawana elimu, na maisha ya chini ataitumia hiyo kama kete,ππππ babutale,mwanafa, nk
nakuhakikishia tu muungwana kwamba, kura za maoni CCM zikiisha ndio uchaguzi mkuu umekwisha huo..Labda kuwe na kufunga ofisi za kurudisha form, ila kikawaida hii ni ngumu kutathmini
Endelea kujifariji, nayo ni hekima ya muumbanakuhakikishia tu muungwana kwamba, kura za maoni CCM zikiisha ndio uchaguzi mkuu umekwisha huo..
mengine baada ya hapo ni kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa sheria, kanuni na katiba ya nchi π
usikate tamaa ndio siasa ilivyo π€£Endelea kujifariji, nayo ni hekima ya muumba