Uchaguzi 2020 Wabunge na madiwani waliopewa kadi leo za ACT-Wazalendo walishajitenga siku nyingi na chama

Lipumbavu kaamua kuisambaratisha Cuf hii Kali sana see you again cuf at the paradizo.
 
mkubali tu kuwa akili kubwa Ally Salehe & co wamewapiga goli la kisigino.

fanbase yenu kwa sasa ni almost nonexistent, so hamtapata mbunge wala diwani wa kuchaguliwa hata 1... labda mpewe viti maalumu na hao wachumba zenu waliowatumia kusaliti upinzani.
 
Mumekosa Mikakati ya kuendesha Chama hata Katibu Mkuu bado hajachaguliwa, CUF itakufa baada ya Uchaguzi Mkuu 2020.
 
Another TLP loading........
 
So what?
 
Njaa zimewafanya mkiue chama hicho
 
Bila Wapemba hakuna CUF!
 
Uongo mwengine so waambiwe watoto? Wamekuwa wabunge wa CUF. Hawakufukuzwa kwani ingefanyika hivyo CUF ingekosa ruzuku
 
Hichi ndiyo kipaumbele cha CCM kuona vyama vya siasa vinakufa.

Profesa Lipumba hii dhambi haitokuacha salama.
 
C.U.F kwishney, mbendembende CCM wakishakutumia project ikimalizika hawakuthamini tena unakuwa big G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…