Elections 2010 Wabunge tunaowataka bungeni 2015

Elections 2010 Wabunge tunaowataka bungeni 2015

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
251
Reaction score
155
1. RAIS..............................
2. WAZIRI MKUU.....................
3. SPIKA SAMWELI SITTA
4. PRO MAGUFULI
5. MRS MALECELA
6. PINDA
7. ZITTO KABWE
8. MREMA
9.MEMBE
10. MBOWE
11.MNYIKA
12. TINDU LISSU
13.HALIMA MDEE
14 HARRISON MAKYEMBE
15. PRO MANYANYA
16.LEMA
17. NDUGAI.
................... wewe unaona rais anayefaa 2015 ni nani pamoja na waziri mkuu..............
 
1. Rais.............................. dr slaa
2. Waziri mkuu.....................mbowe
3. Spika - tundu lisu
4. Pro magufuli
5. Mrs malecela
6. Pinda- analilia lia sana
7. Zitto kabwe- waziri wa fedha
8. Mrema- hafai kabisa
9.membe- hafai
10. Mbowe- waziri mkuu
11.mnyika- waziri wa elimu
12. Tindu lissu- spika wa bunge
13.halima mdee- waziri wa afya
14 harrison makyembe- huyu ni mnafiki sana, hana msimamo
15. Pro manyanya- hafai kabisa ni vitunguu kabisa huyu
16.lema- ulinzi na usalama
17. Ndugai.-
 
1. Rais....... dr slaa (muongo mkubwa, mzinzi amempa mke wa mtu mimba bila haya)
2. Waziri mkuu.....................mbowe ( afadhali lowassa wote ni amfisadi na huyu ataua watu kama alivyoua wangwe na alivyotaka kumuua dr slaa)
3. Spika - tundu lisu SAWA KABISA
4. Pro magufuli SAWA
5. Mrs malecela AACHE UNAFIKI
6. Pinda- APUMZIKE KABISA
7. Zitto kabwe- waziri wa fedha SAWA ILA ATULIE
8. Mrema- KAZEE KA NINI
9.membe- MAMBO YA NJE AFADHALI
10. Mbowe- waziri mkuu MWIZI ATAUA WENGI, HAFAI
11.mnyika- waziri wa elimu ASOME KWANZA HAJAMALIZA HATA CHUO
12. Tindu lissu- spika wa bunge SAWA
13.halima mdee-KWENYE WIZARA YA SHERIA
14 harrison makyembe-WA SHERIA PIA
15. Pro manyanya- UJINGA HUU TENA
16.lema- UJINGA HUU ILI IWEJE, MIKELELE ISIWACHANGANYE NA UMARUFU WA KIJINGA
17. Ndugai.-DUDU GANI HILI
 
Bado tuna safari ndefu sana kabla ya kufika huko ndugu zangu. Katika mbio za 2015 kuna mengi yatajitokeza na wengi watazionyesha rangi zao halisi.

La msingi ni kumuomba Mungu sisi kama nyasi tusiumie sana.

Na vile vile mimi ni mmoja wa wanaoamini kwamba wapo wenye uwezo na dhamira pengine zaidi ya hawa wanaovuma kwenye majukwaa ya siasa ambao ama nyota zao hazijang'ara bado au hawajajua jinsi ya kuzicheza karata.

Swali la msingi ni je tutaingia 2015 na mfumo huu huu wa kuwapata viongozi?
 
Lipumba amesaulika nadhani wizara ya mipango na maendeleo itamfaa sana.
kaka yangu Ngeleja anafaa kuendelea na wizara ya nishati a.k.a umeme
 
Back
Top Bottom