Wabunge wa CCM badala ya kusikitika wao wanacheka tu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mbunge wa CCM ameibua ufisadi na wizi unaofanyika nchini pale bungeni.

Ni muendelezo wa ufisadi chini ya utawala wa CCM.

Badala ya wabunge wenzake wa CCM kukemea huo wizi wao wakaishia kucheka na kupiga makofi.

Hili bunge letu kama tunataka bunge bora basi 2025 Watazania tufanye maamuzi magumu.

Your browser is not able to display this video.
 
Hii nooooma wahuni wanapiga hela sio kawaida alafu hata hawaulizwi pesa zinaingia wahuni wanapiga pesa zinaingia wahuni wanazipiga Tamesemi wapo tu, 10% zetu tunalipa kodi wahuni wanazila tu tena bila uoga bila hata kuzifanyia kazi za maana inauma saana naweza nikamtukana mtu hapa
 
Wizi wa Nchi hii ni syndicate Wala sio wa individuals.
 
hilo ni bunge au kikao cha mapoyoyo ya ccm majiz ya kura.
 
Walisha ruhusiwa kula kulingana na urefu wa kamba zao.
 
UFISADI wa NCHI HII unaofanywa na Wanachama na Wafuasi wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…