Wabunge wa CCM badala ya kusikitika wao wanacheka tu

MAJINGA HAYOOO
 
Wengine wanahoji pesa za sabodo kujenga ofisi zipo wapi?
 
Hakuna bunge bali kikundi cha walaghai na mafisadi plus chawa pro.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi tunafanyeje sasaaaaaaaaa!!!!

Tatizo IPO kwenye mfumo.

Mamlaka ya Rais ni makubwa mno,

Kiongozi wetu anaelemewa,tumpunguzie madaraka tuunde mifumo imara ya kumsaidia kufanya KAZI na mifumo hiyo SIINGILIWE!!!

KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo. Ameeen.
 
Hakuna wanachojua zaidi ya Kucheka na Kupiga Makofi.
 
Wakija huku mtaani wakati kuomba kura wanajifanya wana uchungu na rasilimali zetu.
 
Kuna dili moja la kifisadi likitiki tu nanunua nyumba tegeta hakika huu ndio wakati wa vijana kwenda kwa waganga kuosha nyota ili ukipanga dili la pesa ukimwendea muheshimiwa yeyote tu anakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…