Wabunge wa CCM kumpigia debe January Makamba kwa namna alivyofeli ni kuwakebehi na kuwadharau Watanzania

Hiyo harufu ya ufisadi na ujanja umeipata au kuinusa vipi?Unao ushahidi uuweke hapa? Sababu za ajabu za kudorora bwawa la JNHP ni zipi hizo??? Tunaomba kujua upigaji umefanyikaje na imepigwa kiasi gani na kama kuna risiti au taarifa ya uchunguzi iwekwe hapa...Vinginevyo ni chuki binafsi tu kwa Waziri isiyo na tija na zaidi kupotosha umma. Ramli Chonganishi
 
SEMA Wajumbe wa Halmashauri KUU hakuna Wabunge kuna Wajumbe Magufuli aliwaambia Tunywe NYUNGU wakamshangilia kwa VIFIJO na NDEREMO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Watu wengine mko wagumu sana upstairs. Umetolewa ushahidi hapo, bwawa la umeme JNHPP, Mahindra Tech project, Kukatika ovyo kwa umeme. Unataka ushahidi upi?
Wachunga ng'ombe haya mawazo yenu kwamba kayafa iliuwawa ndio yanayowasumbua.

Yani bado tu mnaamini kwamba tangu tupate uhuru hakuna kama kalemani na ili mambo yaende basi kalemani arudishwe wizarani.

Haya ni mawazo yakijingajinga.
 
1. Lobbying.
2. Washajua ni mtoto pendwa hawana namna(if you cant fight them join them)
 
CCM wamejenga utaratibu mbaya wa kusifia chochote kinachofanywa na kiongozi wao, na muasisi wa tabia hii ni dhalimu. Sasa sijui unashangaa nini wakati ni tabia mliyoilea wenyewe.
Ahaaa. Wewe jamaa are you not insane?
 
Kama huku ndio kufeli,acha aendelee kufeli 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-201342.png
    204.7 KB · Views: 3
Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.
Mkuu Nyankurungu2020 , kwanza hongera sana kwasababu wewe ni msemaji mzuri. Ukiwa ni msemaji mzuri, pia ujifunze kusikiliza, yaani jifunze pia kuwa msikilizaji mzuri wa reasons behind, baada ya kusikia hoja ndipo upangue hoja kwa hoja. Sababu za kukatika katika kwa umeme mara kwa mara zimesemwa zaidi ya mara mia, ila unawezekana wewe hukuwahi kuzisikia!. Msikilize
bwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Kuhusu JNHPP P.
 
Sio vizuri kupotosha. Kuna hotuba mama alieleza vizuri. Magufuli alilipia bwawa na inayo daiwa ni kazi, sioni uhusika wa January kwenye kupiga
Acha kupotosha. Hakuna kazi yoyote ya construction inalipiwa before hand. Construction inafanyika inapimwa na kutoa certificate ndiyo inalipwa. Huyo aliyekwambia kuwa kazi yote ilishalipwa kakudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…