Wabunge wa CCM kumpigia debe January Makamba kwa namna alivyofeli ni kuwakebehi na kuwadharau Watanzania

Waliompamba walipewa mlungula,kupata control number ya malipo Tanesco ni karne inapita.ukishalipia,kuunganishiwa subiri jirani na uchaguzi.Umeme ukiingia tu TOOZO hadi kupukuta vumbi kwenye nyaya.
Ni bora mtu akipata kuwa tu ajaze fomu ya Tanesco
CCM ni genge la matapeli tupu
 
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa.

Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.

Tangu awe waziri ni harufu ya ufisadi na ujanja tu ndani ya hii wizara ya nishati. Ukarabati wa miundo mbinu usiokwisha na kandarasi za kijanja kijanja kama ya Mahindra Tech. Lakini hakuna tija kwa wananchi.

Inashangaza sana kuona wabunge mnasifia upuuzi huku wananchi wakiumia kwa kukosa nishati ya uhakika huku bwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Hapo kwenye aina ya wachangiaji wote utaona ni idadi kubwa ya watumbuliwa wa JPM.

Wale wenye Facts za ukweli dhidi ya Tanesco wamenyimwa nafasi za uchangiaji.
 
Hujazikwa tu chato bado?
 
Kwa ufupi ni kama wizara zote sasahivi ni hovyo sana huko Afya ndio usiseme watu wamepiga hela kinyama mpaka ummy bungeni ile figure ilimshinda kutaja ikabidi tulia amsaidie acha kabisaa
Tupe ushahidi wa hizo hela zinazopigwa
 
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa.

Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.

Tangu awe waziri ni harufu ya ufisadi na ujanja tu ndani ya hii wizara ya nishati. Ukarabati wa miundo mbinu usiokwisha na kandarasi za kijanja kijanja kama ya Mahindra Tech. Lakini hakuna tija kwa wananchi.

Inashangaza sana kuona wabunge mnasifia upuuzi huku wananchi wakiumia kwa kukosa nishati ya uhakika huku bwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Kwa kiwango hiki cha chuki kwa Makamba bila shaka wewe ni Mwanaharakati huru. Ukiendelea hivyo utakufa kwa sonona ndugu.
 
Kati ya wizara ngumu kabisa ni wizara ya nishati. Matatizo yaliyopo kwenye hii wizara hayajaletwa na January. Yeye amerithi matatizo. Hakuna waziri ambae alishakuwa salama kwenye hii wizara. Kuna mahali tulikosea kama taifa kuhusu uwekezaji kwenye nishati. Tusiingize siasa wala agenda zenye viashiria vya chuki. Tulione tatizo tushiriki kulitatua. Muda utaamua kwani kwa changamoto zilizopo haziwezi ondolewa kwa usiku mmoja. Lazima zitatuliwe hatua kwa hatua.

Nguvu kubwa wanayotumia baadhi ya watu kumharibia January imejawa na chuki. Na inawezekana lengo la hawa wanao otesha hii chuki ajenda yao ni kumaliza kisiasa. Na wanajua sababu.

Mh. January kaza buti be focused, tumia watu wabunifu kwenye wizara, usiwe na urafiki na yoyote atakae kuharibia au unaeona ana fanya kazi chini ya kiwango. Kila solution itakayo letwa mezani na wasaidizi wako ichambue kwa umakini mkubwa. Usiruhusu loophole yoyote. Mungu atasimamia kazi zako na changamoto hizi mwisho wa siku zitakuwa historia.
 
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa.

Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.

Tangu awe waziri ni harufu ya ufisadi na ujanja tu ndani ya hii wizara ya nishati. Ukarabati wa miundo mbinu usiokwisha na kandarasi za kijanja kijanja kama ya Mahindra Tech. Lakini hakuna tija kwa wananchi.

Inashangaza sana kuona wabunge mnasifia upuuzi huku wananchi wakiumia kwa kukosa nishati ya uhakika huku bwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Taja jambo moja tu lililofanywa na Makamba likafanikiwa tokea awe waziri wa nishati?

Ingekuwa maendeleo ni maneno matamu matamu Tanzania ingeshaipiku Dubai kwa maendeleo
 
Kwa suala la rushwa kubwa Hilo sina shaka nalo.Kuna jambo kubwa nyuma yake.Time will tell
 
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa.

Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.

Tangu awe waziri ni harufu ya ufisadi na ujanja tu ndani ya hii wizara ya nishati. Ukarabati wa miundo mbinu usiokwisha na kandarasi za kijanja kijanja kama ya Mahindra Tech. Lakini hakuna tija kwa wananchi.

Inashangaza sana kuona wabunge mnasifia upuuzi huku wananchi wakiumia kwa kukosa nishati ya uhakika huku bwawa la JNHP likidorola kwa sababu za ajabu ambazo ni upigaji pesa wa kiroho usio na huruma kwa raia.
Unafeli wewe au anafeli January?

Unfortunately chuki zako hazitabadikisha chochote kumhusu..

Kwamba wewe ndio una macho ya kuona anavyofeli kuliko wanaowawakilisha wananchi? 😬😬
 
Back
Top Bottom