Wabunge wa CCM kwa shobo hawajambo. Sasa hivi kila kona ni 'Daktari Mbobevu' Samia

Wabunge wa CCM kwa shobo hawajambo. Sasa hivi kila kona ni 'Daktari Mbobevu' Samia

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Wabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi kidogo!"

Kwa mwendo huu, muda si mrefu tutaanza kusikia Profesa wa Maprofesa!"

​
 
Hakuna dhambi mbaya kama mwanaume mzima tena baba wa familia kuwa mnafiki na kujipendekeza kwa kiwango hicho
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.

Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu
 
Wenyewe Wanaishi Kwa Majungu Tu
Hawaoni Aibu Zaidi Sifa Za Kijinga
 
Mbunge wa Ccm yupo tayari kumkana mama yake mzazi ili mradi tu alinde tumbo lake na chama chake, hata siku samia akiamua waingie bungeni na nguo zao za ndani lazima watatii
 
Back
Top Bottom