Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hakuna dhambi mbaya kama mwanaume mzima tena baba wa familia kuwa mnafiki na kujipendekeza kwa kiwango hichoWabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi kidogo!"
Kwa mwendo huu, muda si mrefu tutaanza kusikia Profesa wa Maprofesa!"
Mbobevu wa kuuza nchi yetuHivi mtoto wa chekechea akiuliza Samia ni Daktari wa nini au mbobezi wa nini, atapewa jina lipi fupi la kueleweka?
Huo ubobevu wa kijingaMbobevu wa kuuza nchi yetu