johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Umeanza matusi si vema kwa mtu kama wewe ingawa sikujui! Futa hilo neno please. Wewe humu una kaheshima kiasi fulani!Mwacheni Mbowe na pumba zake
Kwa TZ siyo hivyoMaendeleo hayana vyama!
Jo hajawahi kuwa na zote kwa asilimia mia moja msamehe bure.. Sometimes kuna loose bolt nuts huwa zinafyatukaUmeanza matusi si vema kwa mtu kama wewe ingawa sikujui! Futa hilo neno please. Wewe humu una kaheshima kiasi fulani!
Ameandika na jaziba sana kama ume note! Kuna nut fulani imelegea. labda swaumu imekaza leoJo hajawahi kuwa na zote kwa asilimia mia moja msamehe bure.. Sometimes kuna looses bolt nuts huwa zinafyatuka
Jr[emoji769]
Bia yetu upo ndugu yangu,nilianza kuwa na wasi wasi baada ya kutokukusia kwa siku mbili nzimaMbowe anatafuta umaarufu wa kisiasa tu
Unajua Kwanini Mbowe anataka lockdown yeye kwa mwezi analipwa na serkali zaidi ya milion ishirini kwa mwezi Kwahiyo Wewe mwanambagala hata ukifa njaa Mbowe hana habari
umaarufu upi asio nao KUB?Mbowe anatafuta umaarufu wa kisiasa tu
Unajua Kwanini Mbowe anataka lockdown yeye kwa mwezi analipwa na serkali zaidi ya milion ishirini kwa mwezi Kwahiyo Wewe mwanambagala hata ukifa njaa Mbowe hana habari
Afadhali Mbowe kuliko Jiwe alikimbia na familia yake kujificha kijijini!Mbowe anatafuta umaarufu wa kisiasa tu
Unajua Kwanini Mbowe anataka lockdown yeye kwa mwezi analipwa na serkali zaidi ya milion ishirini kwa mwezi Kwahiyo Wewe mwanambagala hata ukifa njaa Mbowe hana habari
Bia yetu upo ndugu yangu,nilianza kuwa na wasi wasi baada ya kutokukusia kwa siku mbili nzima
Mbona walishaanza toka jana. Si wabunge wa CCM tu bali viongozi wote wenye nasaba na CCM, wakiwemo wakuu wa mikoa, wilaya, n.k. Wameshaingia tunduni.Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020
Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala mbunge mwenyewe binafsi bali ni kumpa KIKI huyo Mbowe.
Kwanini umjadili Mbowe wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili na muda wenyewe ni mchache?
Mwacheni Mbowe na pumba zake nyie fanyeni kazi tuliyowatuma, kumpayukia huyo Mbowe hakuna msaada wowote wa wewe kurudi bungeni October.
Maendeleo hayana vyama!
Pomoja sana mkuu na pole kwa ban,mie nilidhani corona kishafanya yake,Wewe huwezi ishiwa bundle mkuu,usitake kumdharirisha mwajiri wako.Nilipigwa ban Ndugu yangu, nikikosekana humu km sina ban basi ujue bando limeniushia
Corona tutamshinda tu Mkuu
Leo umekunywa mkangafu wa mwaka juzi nn mbona mitusi mingi?Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020