Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.

Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.

Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.

Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
 
wizi haujawahi kuisha ndani ya serikali ya ccm nyau wewe.
huyo MAGUFULI kama alikuwa anauchukia wizi kwann alimfukuza kazi ASSAD?
kwann alivibinya vyombo vya habari?
kwann aliwachukia wabunge wa upinzani?
jitu limekufa na kutuachia bunge la chama kimoja bado unalikumbuka NYAU WEWE. KALIFUFUE
 
Nonsense
 
Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.

Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.

Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.

Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Bunge lipi unaloliongelea? Wenye akili gombeeni ubunge hatuna bunge kwa sasa hivi. Leo nilipata nafasi ya kufuatilia mjada wa bunge, nilichokiona ni kwamba JPM alitulazimishia kutupa wabunge wa ajabu sijapata kuona tangu nianze kuona mabunge yote ya Tanzania yaliyotangulia.
 
Bunge ni kijiwe cha stori kama vijiwe vingine..
Hakuna kitu hapo ni stori tu wadanganyika wanaendelea kudanganywa
Nani wa kumtaja nani mbona woooooteee ni wezi.
 
Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.

Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.

Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.

Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Wote ni CCM Kwa CCM hahahahahaha 😂
 
Bunge lipi unaloliongelea? Wenye akili gombeeni ubunge hatuna bunge kwa sasa hivi. Leo nilipata nafasi ya kufuatilia mjada wa bunge, nilichokiona ni kwamba JPM alitulazimishia kutupa wabunge wa ajabu sijapata kuona tangu nianze kuona mabunge yote ya Tanzania yaliyotangulia.
Spika Msemaji wa serikali halafu unategemea lolote la maana?
 
Kwa hili bunge tusitarajie maajabu.
2025 kukiwa na katiba mpya,tupate bunge zuri,waje wafukue makaburi
 
Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.

Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.

Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.

Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Hakuna majitu mazandiki kama CCM
 
Back
Top Bottom