Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nonsensewizi haujawahi kuisha ndani ya serikali ya ccm nyau wewe.
huyo MAGUFULI kama alikuwa anauchukia wizi kwann alimfukuza kazi ASSAD?
kwann alivibinya vyombo vya habari?
kwann aliwachukia wabunge wa upinzani?
jitu limekufa na kutuachia bunge la chama kimoja bado unalikumbuka NYAU WEWE. KALIFUFUE
nioneshe kiongozi wa ccm asiye mwizi acha kurukaruka na vihoja vya kuokotezaNonsense
Bunge lipi unaloliongelea? Wenye akili gombeeni ubunge hatuna bunge kwa sasa hivi. Leo nilipata nafasi ya kufuatilia mjada wa bunge, nilichokiona ni kwamba JPM alitulazimishia kutupa wabunge wa ajabu sijapata kuona tangu nianze kuona mabunge yote ya Tanzania yaliyotangulia.Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.
Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.
Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.
Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Wote ni CCM Kwa CCM hahahahahaha 😂Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.
Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua.
Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM.
Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Spika Msemaji wa serikali halafu unategemea lolote la maana?Bunge lipi unaloliongelea? Wenye akili gombeeni ubunge hatuna bunge kwa sasa hivi. Leo nilipata nafasi ya kufuatilia mjada wa bunge, nilichokiona ni kwamba JPM alitulazimishia kutupa wabunge wa ajabu sijapata kuona tangu nianze kuona mabunge yote ya Tanzania yaliyotangulia.
Mpaka mlinzi wake ameinama kwa aibuMkuu wa genge la majambazi wanaotuibia huyu hapa👇
View attachment 2803619
Hakuna majitu mazandiki kama CCMBungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali.