Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Pole mkuuNchi ya hovyo Uchumi umeshikiliwa na wahindi, waarabu na wazanzibari.
So unamaanisha uongozi ni nyama ya tembo au Watanzania ni nyama ya tembo itakayoliwa na viongozi?Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo.
There's so many opportunities in Ccm.
Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
Ndivyo mnawadanganya eeh?Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo.
There's so many opportunities in Ccm.
Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .