Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

Black movement... Mbona unajib kama vile huijui CCM na serikali yake? Wabunge wa upinzani always mikataba mibovu hua wanapinga mpaka wanatolewa nje! Ukirud kweny Mahakama zote zipo under CCM voice, geshi ra porishi under CCM voice. Je unataka wapinzani wangefanya nn? Hata wakijitoa wauwawe unadhan mikataba ingesitishwa?
Wapo wahanga wa viroba vya bahari, na mwituni,nawale Masasi miingi mingi😂😂😂
 
Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
CCM wako tayari kuua mtu ili wapate uongozi wa kitongoji.

Wako tayari kuuza nchi ili walinde taswira ya chama chao.

Kwa sababu wauzaji na wanunuzi wa nchi ni wao wenyewe kwa maslahi yao binafsi
 
CCM wako tayari kuua mtu ili wapate uongozi wa kitongoji.

Wako tayari kuuza nchi ili walinde taswira ya chama chao.

Kwa sababu wauzaji na wanunuzi wa nchi ni wao wenyewe kwa maslahi yao binafsi
Uko sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom