Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Nimetafakari sana ya Gwajima. Ujumbe wake inawezekana kuna mahali panahitaji msaada wa wananchi wao waanze kazi.Ccm tulioikulia haikuwa hivi. Ili jali sana wananchi hata ws nchi nyingine. Ilikemea udikteta hata wa nchi nyingine. Ndiyo maana ilijitolea hata kutuma majeshi ya ukombozi kwa nchi hizo.
Tangu Ccm ibaki kuongozwa na wapiga dili. Imebadili muelekeo na yenyewe kuwa ya ki dictator kuliko madictator wenyewe. Na sasa hawataki wananchi wafurukute bali waufyate.