Hawa ni mashujaa, waliotoka either wametoka kimihemko au hawakupata mgao.
mashoga ndivyo mlivyo maana kazi yenu ni moja tu huko ccm na tunaijua au unataka niitaje.Chadema Leo kama ningekuwa mwanasiasa wenu ningechoma moto kuanzia kadi yenu Hadi magunia yenu ya kupitia mipunga huku Rukwa.
Mwanazuoni Pr Alexandre Mkumbo huyu mtu ana akili kubwa sana.amechambua vizuri sana
Lakini tungewatambua kwa upambanaji Wao!Mkuu hata wangeenda si bado ungepita?
Labda kama wangepitisha kwa kupiga kura za Siri; badala ya ndiyooo!!
wataje majina hapa,acha uongoHii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.
This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa sehemu ya mjadala huu wakiogopa kuandamwa kwa kuipinga serikali; lakini tujiulize walipoimba ubunge awakujua wanakwenda kujadili mambo gani?
Bunge viti vipo empty as if hakuna jambo la maana linaendelea. Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jambo hili kwenye bunge lisilo na wabunge?
Mpina yupo piaNdio maana hao waliopo wanapiga kelele za kushangilia unyonyaji tunaofanyiwa na Samia kama machizi, hayana aibu.
Kama wali ingia bungeni kwa kuua na kuiba una tegemea wawe na uzalendo wa kuitetea nchi?Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.
This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa sehemu ya mjadala huu wakiogopa kuandamwa kwa kuipinga serikali; lakini tujiulize walipoimba ubunge awakujua wanakwenda kujadili mambo gani?
Bunge viti vipo empty as if hakuna jambo la maana linaendelea. Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jambo hili kwenye bunge lisilo na wabunge?
Ilitakiwa wawepo ili wapinge hoja ndiyo watakua rafiki,ndugu na mzalendo wa kweli,Kama hawaoo bungeni ni wanafiki ili tuwaone wazalendo?Ni bora kuuepuka laana,kuliko kuitafuta laana.Nikimjua aliyekataa Kuwa sehemu ya jambo hili atakuwa rafiki,ndugu na mzalendo mwenzetu wa taifa hili[emoji848]