Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

Chadema Leo kama ningekuwa mwanasiasa wenu ningechoma moto kuanzia kadi yenu Hadi magunia yenu ya kupitia mipunga huku Rukwa.
Mwanazuoni Pr Alexandre Mkumbo huyu mtu ana akili kubwa sana.amechambua vizuri sana
mashoga ndivyo mlivyo maana kazi yenu ni moja tu huko ccm na tunaijua au unataka niitaje.
 
Hiyo haisaidii walitakiwa kuja kupinga. Mtu akionewa na wewe ukakaa kimya maana yake umeungana na mwonevu
 
Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.

This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa sehemu ya mjadala huu wakiogopa kuandamwa kwa kuipinga serikali; lakini tujiulize walipoimba ubunge awakujua wanakwenda kujadili mambo gani?

Bunge viti vipo empty as if hakuna jambo la maana linaendelea. Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jambo hili kwenye bunge lisilo na wabunge?
wataje majina hapa,acha uongo
 
Kuna mbunge kashikishwa msimbazi baaada ya kumaliza kuzungumza😂😂😂au sijui macho yamenidanganya!
 
Wabunge hawana data,hawana statistics.

Hawasemi kipi kinafaa,kipi kirekebishwe,wote wanaunga hoja.
 
Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.

This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa sehemu ya mjadala huu wakiogopa kuandamwa kwa kuipinga serikali; lakini tujiulize walipoimba ubunge awakujua wanakwenda kujadili mambo gani?

Bunge viti vipo empty as if hakuna jambo la maana linaendelea. Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jambo hili kwenye bunge lisilo na wabunge?
Kama wali ingia bungeni kwa kuua na kuiba una tegemea wawe na uzalendo wa kuitetea nchi?
Hatuna bunge hapa. Tuna kikao cha wajumbe wa Ccm.
 
Ni bora kuuepuka laana,kuliko kuitafuta laana.Nikimjua aliyekataa Kuwa sehemu ya jambo hili atakuwa rafiki,ndugu na mzalendo mwenzetu wa taifa hili[emoji848]
Ilitakiwa wawepo ili wapinge hoja ndiyo watakua rafiki,ndugu na mzalendo wa kweli,Kama hawaoo bungeni ni wanafiki ili tuwaone wazalendo?
 
Back
Top Bottom