johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Angalia usipenyuliwe wewe!Mupenyooo Tutawapenyua soon
Ndio maana wamejisalimisha kanisani wanaelewa Bashiru na Pole pole hawana msaada tena labda Ndugai pekee!Walidanganyana,na sasa mziki umebadilika
Ule mkutano wenu mkuu ni mwezi huu au bado mnadunduliza fedha?!Wajinga waliwao
Ova
Kichwani!Nabii amewapata hayo mafuta wapi?
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundoNdio maana wamejisalimisha kanisani wanaelewa Bashiru na Pole pole hawana msaada tena labda Ndugai pekee!
Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
Wakapokee ruzuku waache kubagaiza, wawatumie pia nauli makada wao walioko nje ya nchi warudi nyumbani. Rais ni Mama atawasamee.Ule mkutano wenu mkuu ni mwezi huu au bado mnadunduliza fedha?!
walivunja katiba ya JMT, wa na yule mgogo dawa yao inachemkaWabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
Acha mikwara wewe nitakupaka mpenyo.Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .
Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .
Nakupa onyo la mwisho