Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
 
Wanataka wapenye au wapenywe?
Upumbavu ni kipaji kama urefu na ufupi-mwl Julius K Nyerere
 
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!

Nawashauri wasave fedha zao hizo watakazozipata kwenye kipindi hiki cha mwisho wao kisiasa ,2025 ndio Baba jeni bye bye!! wameuza utu wao kwa vipande 12 vya fedha inaonyesha walikuwa hawajajipanga kukaa kitaa,sasa washajua wameingia kimagumashi bungeni kwahiyo mwisho wao kisiasa ni 2025 bunge litakakapovunjwa,hivyo wahakikishe wanaondoka na pesa ya mtaji hiyo 2025 maana kwenye siasa ndio itakuwa mwisho wao.
 
Hivi hao ni mapacha maana wanafanana.

MINYOO SARE
 
Never heard of that wezereeee... kwahiyo Vaseline inasubiri??? [emoji848]
 
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .

Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .

Nakupa onyo la mwisho
 
Ule mkutano wenu mkuu ni mwezi huu au bado mnadunduliza fedha?!
Wakapokee ruzuku waache kubagaiza, wawatumie pia nauli makada wao walioko nje ya nchi warudi nyumbani. Rais ni Mama atawasamee.
 
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
walivunja katiba ya JMT, wa na yule mgogo dawa yao inachemka
 
Back
Top Bottom