Hahaha Meneja ununuzi mwenyewe Bashiru anagonga meza kwa ******Ndio maana wamejisalimisha kanisani wanaelewa Bashiru na Pole pole hawana msaada tena labda Ndugai pekee!
Nilidhani hao kina mama ni makini kiasi. Nao kweli wanaingia kwenye kundi laWabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
wajinga ndio waliwao? Basi bhaana watarajia laana ya Mungu wa Mbinguni.endeleeni , lakini mnachokitafuta kiko karibuAcha mikwara wewe nitakupaka mpenyo.
Wapakwe n mkongo utawasaidia sanaWabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
Chadema ipi?Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.
Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya
Ibarikiwe Chadema
Source WRM tv
Ukinizingua Nitakuzingua!
Bwashee tusitishane!Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .
Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .
Nakupa onyo la mwisho
Sasa kimekuleta nini meku?!Sasa nayo hii i habari?
Hii ya Ufipa!Chadema ipi?
Unampa onyo kama nani?,huu sio ndio uhuru wa kujieleza mnao upigania kila siku au na ww ushakuwa dikteta.Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .
Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .
Nakupa onyo la mwisho
Uhuru wa habari si ujitungie uongoUnampa onyo kama nani?,huu sio ndio uhuru wa kujieleza mnao upigania kila siku au na ww ushakuwa dikteta.
Hii ndio demokrasia mnayo ililia kila siku,moja ya attribute ya demokrasia ni uhuru wa kujieleza,sasa na kushangaza unavyo mpiga mkwala ,utazani unamiliki server za JF.
Uongo upi ? ndio uhuru wenyewe,hata wewe ulishiriki kusambaza habari Magu alipelekwa Kenya kutibiwa,wakati ulikuwa uwongo,Lowasa kumwita fisadi kwa miaka mitano kumbe ulikuwa uwongo,Msigwa kusema meli ya Kinana ilikuwa na bangi kumbe huu nao ulikuwa uwongo.Uhuru wa habari si ujitungie uongo
Vichwa ni vingi ujue.Kichwani!
Hahahaaaa..... Kwani Halima ana vichwa vingapi bwashee?!!Vichwa ni vingi ujue.
Hili swali tuwaulize nyie mataga wenzake.Hahahaaaa..... Kwani Halima ana vichwa vingapi bwashee?!!
Humtaki wakati ruzuku yake ndio mnalipwa mishahara hapo Ufipa!Hili swali tuwaulize nyie mataga wenzake.