Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
Nilidhani hao kina mama ni makini kiasi. Nao kweli wanaingia kwenye kundi la wajinga ndio waliwao? Basi bhaana watarajia laana ya Mungu wa Mbinguni.
 
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.

Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila hofu yoyote kwa sababu Mungu yuko pamoja nao.

Wabarikiwe Halima Mdee na Esther Bulaya

Ibarikiwe Chadema

Source WRM tv

Ukinizingua Nitakuzingua!
Wapakwe n mkongo utawasaidia sana
 
Chadema ipi?
 
Masahihisho : Halima Mdee , Ester Bulaya na mamluki wengine walionunuliwa si Wabunge wa Chadema .

Ni vema kuiheshimu Chadema ili kuepusha vurugu hapa mtandaoni tukaishia kuchafua amani .

Nakupa onyo la mwisho
Bwashee tusitishane!
 
Unampa onyo kama nani?,huu sio ndio uhuru wa kujieleza mnao upigania kila siku au na ww ushakuwa dikteta.

Hii ndio demokrasia mnayo ililia kila siku,moja ya attribute ya demokrasia ni uhuru wa kujieleza,sasa na kushangaza unavyo mpiga mkwala ,utazani unamiliki server za JF.
 
Kipa na mbele, yaani wewe ndiye kipa halafu unaanzisha mpira kisha unawahi fasta mbele kuomba pasi... dizaini yenu mpo wengi humu mwingine unakuta uzi kaanzisha yeye na comment ya kwanza kabisa yakwake
 
Unampa onyo kama nani?,huu sio ndio uhuru wa kujieleza mnao upigania kila siku au na ww ushakuwa dikteta.

Hii ndio demokrasia mnayo ililia kila siku,moja ya attribute ya demokrasia ni uhuru wa kujieleza,sasa na kushangaza unavyo mpiga mkwala ,utazani unamiliki server za JF.
Uhuru wa habari si ujitungie uongo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uhuru wa habari si ujitungie uongo
Uongo upi ? ndio uhuru wenyewe,hata wewe ulishiriki kusambaza habari Magu alipelekwa Kenya kutibiwa,wakati ulikuwa uwongo,Lowasa kumwita fisadi kwa miaka mitano kumbe ulikuwa uwongo,Msigwa kusema meli ya Kinana ilikuwa na bangi kumbe huu nao ulikuwa uwongo.

So kuwa mvumilivu ndio uhuru ambao hata wewe na viongozi wenu mnau-practice kuanzia humu JF mpaka social media nyingine na si kuanza kuwapiga mikwara watu so vumilia.
 
Back
Top Bottom