Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

unandihsi sahihi wa neno ni upi ni Chadema au CHADEMA? naona maadili ya uandishi yamemomonyoka saana siku hizi.

Heri lawama kuliko fedheha, move nzuri kuongoza kwa mfano, kujitenga na kujitathimini.
 
Safi sana CDM ni dharau zidi ya watanzania kujadilia budget wakati watu wapo kwenye mtihani mgumu wa kupambana afya na uhai wao.
Mtihani gani mugumu wakati watz wanachapakazi tu! Au wewe umejilockdown? Wabunge waoga hao kama wapigakura wao hawaogopi wanapigakazi wao wajifungia ndani.
 
KeyserSoze,
Suala la kutoroka nadhani ni very personal na linabaki katika individual level! Kikubwa tukubali kwamba walichokifanya hata kama ni kwa kuchelewa bado kinaleta maana zaidi.

Pili, nakubaliana na wewe kuwa hakukua na haja ya kudharau hii kitu, mwezi wa pili hata hivyo Mchungaji Msigwa aliliomba Bunge lipitishe kwa kauli moja ili kujadili namna ya kushughulikia Corona endapo ingefika nchini, aliishia kutukanwa na badala yake ikapitishwa hoja ya kumkumsulubu Zito na wakaenda mbali wengine wakitaka Auwawe. Leo hii tumepoteza Wabunge Watatu kwa uzembe!

Walifanya makosa makubwa na kwa bahati mbaya sana bado wanaendelea kufanya kiti kile kile. Pengine niwashauri kuanzia leo wajitahidi kupiga picha za ukumbusho kila mara.
 
Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.

Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Mwambieni bwana wenu Magufuli atoke huko mafichoni wajinga ninyi, kila anachosema mnashabikia tu bila kuhoji kama misukule
 
Kwa kweli nimependa hatua zilizochukuliwa na chadema chini ya mwenyekit wake Freeman Mbowe kwa kweli ni jitihada kubwa ambazo zimechelewa lakn zimechukuliwa kwa wakat

Its not over until its over...[emoji769]
 
Wamechelewa saana!! Au ni Ile ngoja Kwanza tuone!! Sasa kimeonekana kilichokuwa kikiwasubirisha kuwa ni cha moto, na wengine wote watasambaratika tu, mbaya kabisa wao watasahau hata kuaga!! Subiri muone!!!
kabisa hao wataondoka kmya kmya
 
Yaani Chadema kila siku wako one step ahead of CCM ............ isipokuwa tu kwenye kuibiwa kura!!

CCM kwa ubabe wao wataendelea na vikao ili kutuonyesha kuwa wanaendelea kuchapa kazi kama salamu za May Mosi zinavyesema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…