Bora kunguru anaye jali UHAI WA WATANZANIA kuliko binadamu anayejali tumbo na pesa na kuweka uhai wa WATANZANIA hatarini.Nimehitimisha kuwa chadema imejaa makunguru tupu.
Mimi kazi yangu ni ya kujiajiri mwenyewe hapa nasubiri wateja mkuuKwa ivo kumbe kuwa kwako hapa JF huwa unatega kazi!!??
Kumbe wateja bado wapo kama zamani? Nilidhani kwa sababu wengine wamekimbilia vijijini kwao basi na wateja pia wamepungua!!Mimi kazi yangu ni ya kujiajiri mwenyewe hapa nasubiri wateja mkuu
Issue sio kuigana anayeona corona hatari kwake aji lock down mwenyewe na asianze kupiga tarumbeta za ohhh niigeni mimi !!! Wewe ji lock down wengine achana naoKama wabunge wataiga huo msimamo itakuwa ni historia ya pekee
Uhai wa Watz wakati wamewakimbia? Sisi tuko kazini wao wamejifungia ndani. Nilitegemea watoke nje wawasaidie wapigakura wao.Bora kunguru anaye jali UHAI WA WATANZANIA kuliko binadamu anayejali tumbo na pesa na kuweka uhai wa WATANZANIA hatarini.
Hatukuchaguliwa kukaa nyumbaniCCM hawawezi hili
Jr[emoji769]
Kumbe waliobakia Bungeni wapo pale kwa ajili ya kuonesha mvuto wao??Ni katika kuishiwa hoja na kukosa mvuto
Biashara yangu ni dawa mkuu muda huu iko juu sana hasa ikifika jioniKumbe wateja bado wapo kama zamani? Nilidhani kwa sababu wengine wamekimbilia vijijini kwao basi na wateja pia wamepungua!!
Hahahhaah, ila wananchi walimchagua anko akakae nyumbani, sio??Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.
Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Inaonesha watu ni wagonjwa sana, ni kwa nini watu wananunua sana dawa tena nyakati za usiku!!Biashara yangu ni dawa mkuu muda huu iko juu sana hasa ikifika jioni
Tumeshasema hakuna lockdown
Wewe ni mpiga wa kura wa wabunge wa CCM sio CHADEMA, so endelea kuwasemea wabunge wakoHao waoga sana mbona wapigakura wao tunaendelea kuchapakazi kama kawa?
Rais siyo sawa na wewe mkuu iyo ni taasisi ofisi inakuwa popote. Ndiyo maana unaona kila kitu kinaendelea kama kawaida tu.
Sawa ni vita, lakini unapopambana na unayemwona mbinu ni tofauti kabisa na unapopambana corona isyoonekana kwa macho mpaka mtu apimwe.Vita ni vita tu,
Hii nayo ni vita, inapaswa waache kujiita makamanda na kuvaa magwanda kwakua vita hawaviwezi hawa, kwenye amani wanajiita makamanda vita ikija wanakimbia uvunguni mwa kitanda, haha, makamanda uchwara wa chadema.
Je unamsemeaje rais wa nchi aliye itelekeza nchi wakati wa majanga? Huyu ndiye aliye wakimbia wananchi na ameonyesha kuto wajali wakati wa matatizo.Uhai wa Watz wakati wamewakimbia?
Sisi tuko kazini na RAIS WETU kajifungia chattle.Sisi tuko kazini wao wamejifungia ndani.
Nilitegemea rais awe mstari wa mbele katika kupambana na janga linaloikabili nchi ila inasikitisha kuona kaikimbia mpaka ikulu na kwenda kujifungia chattle!!Nilitegemea watoke nje wawasaidie wapigakura wao.