SaawaCHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za kujikimu Dodoma ni wezi, ni ya uongo na kimetoa rai kwa Wabunge kutokutekeleza yale Spika aliyoelekeza
Akitoa taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema pamoja na hayo Chama kimewataka Wabunge waliotii maagizo ya kujitenga kumalizia siku zilizobaki kisha kurejea Bungeni kama hali ya #COVID19 itakuwa inatia matumaini
Itakumbukwa kuwa Mei Mosi mwaka huu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitoa waraka ulionesha kuwa Wabunge wa CHADEMA waliamua kujiweka Karantini kwa siku 14
SIHASA BHANA, SASA MNANG'ANG'ANIA MIHELA YOTE HIYO AISEE!! SI MNGERUDISHA TU ZIJE ZISAIDIE RAIA WA HALI YA CHINI KAMA SISI?CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Sio sihasa ni siasa rudi shule mkuuSIHASA BHANA, SASA MNANG'ANG'ANIA MIHELA YOTE HIYO AISEE!! SI MNGERUDISHA TU ZIJE ZISAIDIE RAIA WA HALI YA CHINI KAMA SISI?
FUATENI MAELEKEZO YA KIONGOZI WENU AMBAE NI SPIKA. RUDISHE MIHELA HIYOO
Hahahahaha, wapinzani akili ndogo sana, unajua hilo lilikuwa bonge la mtegoKuna wabunge walisema wako Dar hao Warudishe fedha maana Makonda aliwatkenya wajiseme wako wapi na wakaingia mtegoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ibariki ChademaCHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za kujikimu Dodoma ni wezi, ni ya uongo na kimetoa rai kwa Wabunge kutokutekeleza yale Spika aliyoelekeza
Akitoa taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema pamoja na hayo Chama kimewataka Wabunge waliotii maagizo ya kujitenga kumalizia sik
u zilizobaki kisha kurejea Bungeni kama hali ya #COVID19 itakuwa inatia matumaini
Itakumbukwa kuwa Mei Mosi mwaka huu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitoa waraka ulionesha kuwa Wabunge wa CHADEMA waliamua kujiweka Karantini kwa siku 14
Huyu alieandika hichi kibonzo ni kituko kweli.. Hana ubunifu hata 0.000%
Huyu sio 'Kawe Junction' kweli?Spika wakate kwenye pension Hao wameibia kodi zetu
Wakirudi wiki ijayo wakamateni muwapeleke karantini
[emoji3][emoji3][emoji3]Akili ni nywele kila mtu ana zakeKuna wabunge walisema wako Dar hao Warudishe fedha maana Makonda aliwatkenya wajiseme wako wapi na wakaingia mtegoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msirudishe kwa nini wakati hamtimizi majukumu yenu wezi nyie ???CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110
Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za kujikimu Dodoma ni wezi, ni ya uongo na kimetoa rai kwa Wabunge kutokutekeleza yale Spika aliyoelekeza
Akitoa taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema pamoja na hayo Chama kimewataka Wabunge waliotii maagizo ya kujitenga kumalizia siku zilizobaki kisha kurejea Bungeni kama hali ya #COVID19 itakuwa inatia matumaini
Itakumbukwa kuwa Mei Mosi mwaka huu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitoa waraka ulionesha kuwa Wabunge wa CHADEMA waliamua kujiweka Karantini kwa siku 14
Karantini kwao limekuwa neno la fahari hata km halina ulazimaMbowe ni.msanii,akirudi huko bungeni alikokimbia watu wenye corona,ana uhakika gani kama hatoambukizwa
Maigizo yamebuma
Ushahidi wa wizi uko wapi we we matrego?Spika wakate kwenye pension Hao wameibia kodi zetu
Wakirudi wiki ijayo wakamateni muwapeleke karantini