Wabunge wa CHADEMA walio karantini waazimia kutorudisha posho. Kurudi Bungeni siku 14 zikiisha

Wabunge wa CHADEMA walio karantini waazimia kutorudisha posho. Kurudi Bungeni siku 14 zikiisha

Spika wakate kwenye pension Hao wameibia kodi zetu

Wakirudi wiki ijayo wakamateni muwapeleke karantini
Hakuna kukata kwenye pension huo ni wizi Huwezi iba ofisini halafu ukasema nilizoiba mje mnikate kwenye pension au kwenye pisho ya vikao vibavyofuata.Warudishe kwanza vinginevyo wazuiwe kuingia bungen
 
Ushahidi wa wizi uko wapi we we matrego?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanepewa per diem na posho waonekane eneo la ofisi ya kazi ambalo ni ukumbi Wa mikutano ya bunge hawapo daftari la mahudhurio ni shahidi

Lockdown hata watu maskini iwe madereva Wa malori au walala hoi wana ji lock down kwa gharama zao sio za serikali wala bunge kwa mini wao Wa ji lock down kwa gharama za bunge? Za posho na per diem? Wange ji lock down kwa gharama zao wezi hao warudishe pesa per diem na posho za vikao hawawezi zigeuza kuwa personal lockdown cost
 
Hats Mimi singerudisha, yaani ile posho walilipwa mpaka marehemu kina mahige
Marehemu anakaywa kwenye mirathi kama aliiba kwa kisingizio cha Ku ji lock down lakini kwa mwizi aliye hai kama hao wabunge Wa chadema waxirudishe cash bila hivyo wasikanyage bungeni

Two wrongs don't make a right wizi ni wizi uwe umefanywa na marehemu au mtu hai.Tunataka pesa zetu za Kofi zetu chadema rudisheni la sivyo marufuku kukanyaga bungeni

Ji lockini down hata miaka lakini kwa gharama zenu
 
CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110

Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za kujikimu Dodoma ni wezi, ni ya uongo na kimetoa rai kwa Wabunge kutokutekeleza yale Spika aliyoelekeza

Akitoa taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema pamoja na hayo Chama kimewataka Wabunge waliotii maagizo ya kujitenga kumalizia siku zilizobaki kisha kurejea Bungeni kama hali ya #COVID19 itakuwa inatia matumaini

Itakumbukwa kuwa Mei Mosi mwaka huu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitoa waraka ulionesha kuwa Wabunge wa CHADEMA waliamua kujiweka Karantini kwa siku 14
Corona hatuwezi kutulia haraka hata fomu za malipo mengine ya kiinua mgongo watasbr mpaka Corona iishe

Hakuna Mbunge wa CDM atarudi Bungeni na huu ndio mwisho wao
 
Wanepewa per diem na posho waonekane eneo la ofisi ya kazi ambalo ni ukumbi Wa mikutano ya bunge hawapo daftari la mahudhurio ni shahidi

Lockdown hata watu maskini iwe madereva Wa malori au walala hoi wana ji lock down kwa gharama zao sio za serikali wala bunge kwa mini wao Wa ji lock down kwa gharama za bunge? Za posho na per diem? Wange ji lock down kwa gharama zao wezi hao warudishe pesa per diem na posho za vikao hawawezi zigeuza kuwa personal lockdown cost
Wewe nadhani ni kati ya watu waliokosa kabisa uelewa. Hakuna unapochangia kwa weledi japo wa kiwango kidogo. Hivi wewe una uwezo wa kufanya kazi yoyote ya maana ya kutumia akili?

Madereva unaowataja wanakuwa lockdown kwa gharama za mwajiri na siyo gharama za Serikali.

Mwajiri wa mbunge ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona hatuwezi kutulia haraka hata fomu za malipo mengine ya kiinua mgongo watasbr mpaka Corona iishe

Hakuna Mbunge wa CDM atarudi Bungeni na huu ndio mwisho wao
Hizo pesa wazorudishe pamoja na uwepo Wa corona hatutajali tutaandaa maandamano kwenda bungeni kushinikiza watolewe nje ya bunge kana watakuwa wameruhusiwa kurudi bungeni bila kurudisha hizo pesa

Lockdown ruksa Ila Wa ji lock down kwa gharama zao kama ambavyo wizara ya afya inasema kuwa karantini ya Siku 14 kila MTU anajiweka kwa gharama zake

Tunawapongeza kwa Ku jiweka karantini kwa hiari yao tunachokiomba ni posho za per diem na za vikao wazirudishe càsh
 
Madereva unaowataja wanakuwa lockdown kwa gharama za mwajiri na siyo gharama za Serikali.

Mwajiri wa mbunge ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ni kwa makubaliano na mwajiri wabunge chadema mlikubaliana lini na mwajiri? Awe spika au wapiga kura wenu? Kuwa mji lock down? Kwa gharama za mwajiri awe spika au wapiga kura yaani kodi zao?
 
Back
Top Bottom