Wabunge wa darasa la saba , hawana uwezo wowote wa kuelewa mambo ya nchi wasiruhusiwe kuwepo Bungeni

Wabunge wa darasa la saba , hawana uwezo wowote wa kuelewa mambo ya nchi wasiruhusiwe kuwepo Bungeni

Wakuu .

Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni .

Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
Sifa moja wapo ya kuwa katika nafasi nyeti siku hizi lazima uwe na uwezo wa kupiga kelele, hayo mambo ya vyeti kwao sio issue my friend
 
Hakuna bunge tangu 2020 hicho ni kikundi cha wahuni wa CCM wanatafuna kodi za wananchi.
1739174639625.png
 
Wakuu .

Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni .

Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
si ujitokeze kwenye uchaguzi na madigrii yako ili hatimae wananchi wa darasa la saba wakufurahishe kwenye sanduku la kura kuliko kumbwelambwela tu humu jukwaani gentleman?🐒
 
wakija kwenye uchaguzi mnachague wengine, ukifika uchaguzi juru baada ya mabadiriko.
 
Wakuu .

Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni .

Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
No reforms no election. Vilaza wanaongea upuuzi sana. Ni heri alienusa hata diploma class na sio hawa 💩💩 kutetea upuuzi
 
Wengine hata la saba hawakufika, na sio wabunge tu hata madiwani, kwa kweli bunge ambalo ni chombo cha kutunga sheria liwe na wabunge ambao hawana uelewa ni tatizo kwa nchi. Huku niliko kuna mtu anataka kugombea udiwani viti maalum, la saba hakumaliza.
 
Wote mnaosapiti ujinga huu ni maiti,je wazazi wenu waliowazaa na kuwalea wanadegeee ngapi au hawakufanikiwa kifamilia?
 
Wakuu .

Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni .

Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
Je,wewe ndugu zako wote ni wasomi wa masters?je wewe ndiyo unawasemea mambo yao au kuwaendeshea familia zao?acha ujinga basi je hao mabwana zako wasomi wote wamefanikiwa kwa elimu zao?

Kwanini wasomi wasipigiwe kura na wasomi wenzao basi kama wasiosoma hawana umuhimu kwenu?
 
Hawa wajumbe/wabunge wa zamani waliofanyakazi na wakoloni walikuwa wasomi?je kazi waliyofanya utalinganisha na wabunge wenu wasomi wa sasa kina kabudi,mpango,lukuvi,nk??

""THE STORY OF THE TANZANIA PARLIAMENT : FROM THE COLONIAL ‘LEGISLATIVE COUNCIL’ TO THE POST-INDEPENDENDE ‘PARLIAMENT’.
This is a continuation of my presentation titled “the Story of the Tanzania Parliament”, which we commenced last week; when we discussed the origins of our Parliament, or BUNGE; which, during the period of the colonial Administration of Tanganyika Territory, was known as the “Legislative Council” (LEGCO), established in 1926. This Legislative Council was created by the British House of Commons, through legislation cited as the Tanganyika Legislative Council (Order– in Council, of 1926.
In today’s presentation, we will focus on the ‘Independence Parliament (1960 – 1965). The change of designation, from Legislative Council, to Parliament, should be noted. There is a similar distinction regarding the citation of the laws enacted. Whereas the laws enacted by the colonial Legislative Council are cited as “Ordinances”; those enacted by Parliament are cited as “Acts”.
The composition of the colonial Council.
The colonial Legislative Council was presided over by a Chairman, who was the Governor himself; and all its Members, numbering 20, were nominated by the Governor. No Africans were nominated. According to available records, the first two African nominated Members, Chief Abdiel Shangali and Chief Kidaha Makwaia, entered LEGCO on 24th November, 1945. Two other African Members, Chief Adam Sapi Mkwawa, and Mr. Juma Mwinadi, were nominated in June 1947 and April 1948 respectively. The first significant change was introduced on 1st November, 1953; when the governor ceased to preside over the LEGCO proceedings, and was replaced by the Speaker, Brigadier Sir William Scuphum.
Another significant change was introduced in April 1955, with the entry of the first women Members : Ms Elifuraha Mkamangi Marealle, Ms K.F. Walker, and Mis S Keeka.
The major change in the composition of LEGCO during that period, was introduced in 1957/58; with the entry of the first elected Members from 10 constituencies; with the participation of three newly formed political parties: the Tanganyika African National Union (TANU), the United Tanganyika Party (UTP) and the African National Congress (ANC). But the TANU sponsored candidates were the winners in all the 10 constituents.
A second parliamentary election was held in September 1960, when the number of constituencies had been increased to 71. This was the election that ushered Tanganyika into independence; in which, once again, TANU candidates won unopposed in 58 constituencies, and won all the contested seats, except one, which however was won by a TANU member, who had stood as an independent candidate; which thus became a de facto one-party Parliament which, in the parliamentary records, is designated as the “Independence Parliament”, of 1960-1965."

Uongozi siyo elimu ni karima na utashi basi kama uongozi ni elimu wekeni wasomi kuanzia mjumbe wa mtaa hadi rais tuone kama mtaenda popote??

Watanzania ni watu wa midomo na siyo ubongo hawafikirii
 
Back
Top Bottom