Hivi kinachowafanya waharibu ni SHULE ZAO ........... au ............. TAMAA ZAO.........???Nimeona kwenye list ya wagombea wa CCM kuna wagombea kadhaa ambao elimu yao ni shule ya msingi, swali langu je hawa wakiwa kwenye kamati za bunge wataweza kutusaidia? Mfano mikataba karibu yote imeandikwa kwa kiingereza, na majarida mengi ya kitaalam pia yapo kwa kimombo je hawa watatoa michango gani kama hawataweza kuelewa kilichoandikwa??
- Jah People - Njombe Kaskazini
- Jamal Tamimu - Muhambwe
- Lameck Airo - Rorya
- Luckson Mwajale - Mbeya Vijijini
- Hussein Amar - Nyang'wale
- ........
- ........
Ama kweli sikoi la kufa halisikii dawa. Subirini tuuzwe tu na nguo zetu tulivyo.
kwakuwa hawa wasomi tuliowapeleka huko miaka yote hii hawajatusaidia bora tujaribu hawa std 7,
Nimeona kwenye list ya wagombea wa CCM kuna wagombea kadhaa ambao elimu yao ni shule ya msingi, swali langu je hawa wakiwa kwenye kamati za bunge wataweza kutusaidia? Mfano mikataba karibu yote imeandikwa kwa kiingereza, na majarida mengi ya kitaalam pia yapo kwa kimombo je hawa watatoa michango gani kama hawataweza kuelewa kilichoandikwa??
- Jah People - Njombe Kaskazini
- Jamal Tamimu - Muhambwe
- Lameck Airo - Rorya
- Luckson Mwajale - Mbeya Vijijini
- Hussein Amar - Nyang'wale
- ........
- ........
uzuri wa bunge letu halina tofauti na vikao vya harusi na kicheni pati,
hivyo nahisi hawatakuwa na taabu saaanaa, watakabiriana nalo tu,
mbona wabunge wasomi na ambao ndiyo wengine wanakuwa wasomi
ndiyo wanaongoza kwa kusaini mikataba mibovu, na kulizamisha taifa?
kikubwa ni kutowachagua wao sisiemu yao
hapo umenena kweli tupu mkuuKila kitu kina nafasi yake ktk maisha... tusiwadharau wasiokuwa na elimu ya juu kwani matajiri wakubwa duniani ni watu wasiokuwa na ELIMU kubwa...Kwa sababu hawa ni watu wanaochukua risk kubwa pasipo kupiga mahesabu makubwa ya kugawa na kutoa. Ni rahisi sana kumshawishi mtu asieenda shule kwa mambo muhimu ktk maisha kuliko msomi ambaye huwa na mlolongo wa list ya maswali mengi na mazito hata ikiwa ni kuchota maji mtungini na kunywa..
Kuna ushahidi mkubwa kwamba hata uongozi wa chama Republican cha Marekani kuna watu wabunge kibao ambao shule ilipita pembeni na wapo na wapo kiisha ndio wapambanaji wabaya kuliko wale wasomi ambao kwao hutumia zaidi sayansi hata mahala pa logic. Umuhimu ni kwamba mbunge anawakilisha wananchi wetu. Ikiwa asilimia 90 ya watu unaowawakilisha hawana elimu, hiyo Elimu yako haiwezi kuwasaidi ikiwa hufahamu mahitaji yao, sana sana utawazingua ni hicho kidhungu..
Yameanza kujitokeza huko Nzega..
Nimeona kwenye list ya wagombea wa CCM kuna wagombea kadhaa ambao elimu yao ni shule ya msingi, swali langu je hawa wakiwa kwenye kamati za bunge wataweza kutusaidia? Mfano mikataba karibu yote imeandikwa kwa kiingereza, na majarida mengi ya kitaalam pia yapo kwa kimombo je hawa watatoa michango gani kama hawataweza kuelewa kilichoandikwa??
- Jah People - Njombe Kaskazini
[*]Jamal Tamimu - Muhambwe- Lameck Airo - Rorya
- Luckson Mwajale - Mbeya Vijijini
- Hussein Amar - Nyang'wale
- ........
- ........