luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wameonyesha ulafi wa hali ya juu ! Ati na kikao wamegomea hahahahaHa ha ha ha yako locked nchini kwao halafu yanataka posho
Wamezira kikao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameonyesha ulafi wa hali ya juu ! Ati na kikao wamegomea hahahaha
Waje Arusha na 14 days quarantine ziwahusu, whether wana covid -ve certificate or not. Yaani hawa ni kuwavuruga kila eneoWameonyesha ulafi wa hali ya juu ! Ati na kikao wamegomea hahahaha
Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi
Ndio maana kenya kumbe rushwa na matumizi mabay ya madaraka haya ishi kwa style kama hii yaan na ww unaunga mkono ss si bora iyo pesa wapewe masela wa nairobi wanunuliwe barakoa wavaeMy friend they have to get their allowances even if they are in their own country, it is their right, they are not practicing “socialism’ or “communism”! They are somewhere in a certain office where there is communication facilities and even if they are at their own home but using communication links, they have to be paid till EAC guidelines are otherwise amended. Unataka watoto wao wafe njaa wakati wanafanya kazi kihalali. Covid19 isiwe ni janja ya kutolipa marupurupu ya kazini na hasa mambo ya nchi 6. Period.
Wana lipwa tena nasikia mshahara wao ni mzuri sana uki compare na mshahara wa mbunge wa JMTHivi wabunge wa EAC huwa hawalipwi mishahara ?
Kama wanalipwa mishahara na kazi wanafanyia majumbani mwao, allowance ya nini. Au ndio (uroho)Wizi wa kulazimisha?.
Ila Kama hawalipwagi mishahara, Basi wanastahili hizo allowance.