Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

Maximize B. Wine's woes for political milage from UG to KE?!
Yep! The Kenyan M.Pigs works in magical ways. Jk! [emoji1] I mean that they would do it with one eye on the camera so that their constituents can see how hard they were clobbered by the Ugandan Police.
 
Heheheh!, aseh!

Guess that's how you have to be smart, to survive in politics..
 
MANENO kuntu!
Vurugu Africa ni furaha ya mdhungu!
Wewe mwogopa vita, unadhani amani huja kwa maneno tu? Wacha kuwa na akili ya kitoto. Amani unayoongea kuhusu haiji kwa maneno tu. Jifunze hio historia uone jinsi nchi nyingi za kiafrika zilivyomwaga damu ili zipate amani. Watu wengi sana kwenye hii thread ni waoga tu na hii dunia haina nafasi ya watu wanyonge. Hio amani unayozumgumzia Watanzania wengi walipoteza maisha yao wakipigana dhidi ya dikteta Iddi Amin. Huna habari jinsi gani Amani ni bei ghali na Tanzania mlilipa enzi hizo na Kenya pia mbeberu mjinga hangetoka bila mkenya wa kawaida kumwaga damu. Hio ndio ukweli na hio ndio historia
 
Back
Top Bottom