pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Yep! The Kenyan M.Pigs works in magical ways. Jk! [emoji1] I mean that they would do it with one eye on the camera so that their constituents can see how hard they were clobbered by the Ugandan Police.Maximize B. Wine's woes for political milage from UG to KE?!
Yep! The Kenyan M.Pigs works in magical ways. Jk! [emoji1] I mean that they would do it with one eye on the camera so that their constituents can see how hard they were clobbered by the Ugandan Police.
Wewe mwogopa vita, unadhani amani huja kwa maneno tu? Wacha kuwa na akili ya kitoto. Amani unayoongea kuhusu haiji kwa maneno tu. Jifunze hio historia uone jinsi nchi nyingi za kiafrika zilivyomwaga damu ili zipate amani. Watu wengi sana kwenye hii thread ni waoga tu na hii dunia haina nafasi ya watu wanyonge. Hio amani unayozumgumzia Watanzania wengi walipoteza maisha yao wakipigana dhidi ya dikteta Iddi Amin. Huna habari jinsi gani Amani ni bei ghali na Tanzania mlilipa enzi hizo na Kenya pia mbeberu mjinga hangetoka bila mkenya wa kawaida kumwaga damu. Hio ndio ukweli na hio ndio historiaMANENO kuntu!
Vurugu Africa ni furaha ya mdhungu!
Jamaa you are brilliant. Uko na high level of critical thinking.Kwani rais lazima atoke upinzani, tunachotaka ni kuondoa udikteta.
Nyerere sio dikteta, wacha upuzi.Toa mafeelings hapa, dikteta wote? Mbona mao, fidel, nyerere etc wametoka kwa heshima zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndiyo majirani wa kweli, siyo wanafiki kama akina nyie...Aaaa wapi!
Ujinga mtupu!