Wabunge wa Lowassa wamerudi CCM na kumpa majibu Dr Slaa kwamba mzee wao alikuwa ni Liability kwa CHADEMA!

Chadema ilikufa pale ilipobadiri gia angani na kumchukua LOWASA hili kosa limekigharimu chama hadi kinakufa
Yaani wasingemchukua Lowasa Chadema ingeweza shinda hata uraisi sababu Lowasa alikuwa mtego CCM wangempitisha Watu wangempigia kura mgombea wa Chadema wakiwemo wana CCM sababu walikuwa hawamtaki kwa kuwa ni fisadi.Hivyo Chadema ingeshinda uraisi.Walipomchukua Lowasa wakajimaliza wenyewe kura zikaenda CCM.Chadema ilikuwa imeshajijenga vya kutosha bila Lowasa ilitakiwa isivuruge last minute ingemuweka Slaa hata Mbowe au yeyote Ila sio Lowasa.
 
Sijakuelewa hapo ndugu
 

mkuu una moyo

nyie malaya mmejianika mitaa gani mnunuliwe?
 

Likely asingeshinda, angeongeza wabunge, CDM ingekuwa na nguvu ile ile, falsafa ile ile na kwa kipindi hili, royal cdm members including polisi wangeweka moyoni baya lolote la JPM na kujaribu another big attempt mwaka 2020

CDM ingekuwa na nguvu sana nyakati hizi za kubanwa kuliko wakati wowote ule.

2020,2025 CDM ingekuwa inawaziwa kuchukua dola


sasa hivi watachukua dola 2245!
 
Chadema hawajielewi..period!
Leo utasema Chadema hawajielewi,jana CUF ya Seif imehujumiwa na nani?
Labda jambo usiojua ni kwamba kwa mwendo huu hakuna aliesalama.Iwe CCM yenyewe,Iwe vyama pinzani,iwe wasionachama.
Kwasababu mimi na wewe hatujui kesho utawala utapanga nini?
 
 
chadema kilishapoteza mwelekeo pale watu wachache walipofanya maamuzi ya kijinga na kulazimisha kila mtu wako sahihi sijui watasemaje pale Lowassa wao atakaposema anarudi CCm kwani kuna kila dalili ameshakata tamaa na ndoto ya urais
 
Kwa namna mambo yanavyoendelea ndani ya Chadema ni wazi Lowassa hakuwa asset bali liability kwenye chama

Lowassa kaondoka si na wabunge wake tu akina Karanga na Dr Mollel bali hata akina Selasini na Lwakatare aliowakuta Chadema
Hakika Dr wa ukweli uliona mbali

Maendeleo hayana vyama!
 
Jo naona unateseka sana na CHADEMA... Ila kumbuka hili ni chama la wana.. Halifi kesho wala keshokutwa.. Litadumu miaka 1000

Jr[emoji769]
 
Aki tumii pesa kama Chama cha majani .

SUBIRI KIDOGO
 
Unajua hayo maneno "Asset" na "liability" yalikuwa na uthamani wakati gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…