Lowassa si alisema anakuja Na wabunge sijui 50!! Kipindi kile walipohamia chadema mliwaona malaika Leo wanarudi CCm mnawaona mashetani !! Hahahaaaaa!! Shame on you!!Kwenu Barababa,viwanda,ndege,reli ya kisasa nk siyo vya msingi!! ??? Eti Uhuru ( kana kwamba mmetekwa ) haki ( sijui haki ya kufanya au kuongea matusi) ndiyo vya msingi huko chadema!!! Hahahaa!! Nyumbani kwako ( chadema hakuna Uhuru Na haki) maana ukiutaka uenyekiti sijui ukahoji matumizi ya ruzuku unatishiwa( according to Zitto ,wangwe,Waitara nk)!!