Wabunge wa mkoa wa rukwa

Wabunge wa mkoa wa rukwa

Autorun

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2008
Posts
557
Reaction score
119
Hivi jamani hawa wabunge wa mkoa wa Rukwa wamechangia nini katka maendeleo ya mkoa wao na je kuna umuhimu wa wao kuendelea kugombea ubunge na kuzeekea bungeni?
 
Mzindakaya amekuwa mbunge miaka nenda miaka rudi na hakuna cha maana alichofanya zaidi ya ufisadi. Ni wakati muafaka kuwaondoa madarakani watu kama hawa na kuwa na damu changa zenye uchu wa kuleta maendeleo mkoani Rukwa.

Watu wa Kwera mpigeni chini mzindakaya 2010.
 
Back
Top Bottom