mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
HahahaAliwapenda sana weupe
Sio tu tumboni hadi itatokea utosini,🤪Hilo ndilo bunge linalotakiwa sasa.
Akimaliza kuchangia hoja anasaini 350 siku imeishaaa. Hakika turasubiri saana hadi miguu iingie tumboni.
Kipengele cha kujua kusoma na kuandika kiondolewe. africa pekee ni tanzania tu ambayo ina qualification za hovyo kwenye ubunge, ndio maana tunapata watu wa ajabuAisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni
Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni kulikuwa na kimbunga Hidaya, lakini hatujasikia majina kama kimbunga John, Getere au kimbunga Kanyasu, nalisema hilo kwa masikitiko makubwa nikisema kwamba TMA haioni iko haja kwa serikali hayo majina yakiletwa kutoka nje yabadilishwe ili yalete maana nzuri, vijana wetu wanaingia katika kashifa pia kutumia haya majina," - Dkt NtaraView attachment 2991611
Ingekua wabunge ni wake angekufa nao.Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni