Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme
Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni maendeleo ya kijamii kwa hiyo inapotokea changamoto ya umeme inakuwa changamoto kweli kweli.
"Nishati ya umeme kwetu sisi wananchi wa urambo inatusaidia kijamii na kiuchumi pia kwa hiyo inapokuwa changamoto inakuwa kweli changamoto" Mama Sitta
Wabunge hao wamefikisha malalamiko hayo wakazi Waziri wa Nishati alipofika Tabora kuendelea na ziara yake.
CHANZO: TBC DIRA YA MCHANA